Agizo la JPM lakwamishwa, Mawakala wa mashine za EDF kwa vituo vya mafuta wahusika, TRA yajivua lawama, Serikali yatikisa benki, utafiti waonyesha ni baada ya kuondoa fedha zake kwenye benki za biashara hivyo kushuka kwa ukasi, Masogange yamkuta ya Wema Sepetu kortini…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 3, 2017. Tazama video hapa

Maalim Seif amwaga ugali baada ya Lipumba kumwaga mboga, amtimua Sakaya
RC Makonda kubadili mfumo wa utendaji kazi wa Polisi Dar