Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni, Mbunge wa Tunduru kusini ameifikisha Bungeni ahadi iliyotolewa na Makamu wa Rais Samia Suluhu ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha rami wakati wa chaguzi.

Serikali imelitolea majibu yake, Tazama hapa

Video: 'Chama cha mapinduzi kimdhibiti mwnachama wao John Pombe Magufuli' - Mbunge Zitto Kabwe
Audio: Gwajima afyatuka tena, amshauri Magufuli aihame CCM, adai amenasa njama