Video: Ajali 3 zilizosababisha vifo vya watu 46, majeruhi 75 chanzo ni uzembe wa Madereva
8 years ago
Kamanda wa Polisi wa kikosi cha usalama Barabarani Mohammed Mpinga, akizungumza na waandishi wa habari leo amezitaja ajali kubwa tatu zilizotokea ndani ya wiki moja kusababisha vifo vya watu 46 huku wengine 75 wakijeruhiwa katika ajali hizo kuwa zimesababishwa na uzembe wa madereva.