Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya amefanya Remix ya wimbo wa Staa wa Bongo Flava, Ali Kiba Aje.

Erick Omondi ni mchekeshaji kutoka Kenya ambaye amepata umaarufu Tanzania kutokana na utundu wake wa kuigiza nyimbo za Watanzania, hapa ameufanyia remix wimbo wa Ali Kiba, Aje. Bofya hapa kutazama

Happi Awapa Wasanii Mikakati ya Kujikwamua na Umaskini
Lowassa afunguka kuhusu 'kuimbiwa' na kusemwa kwenye Mkutano Mkuu wa CCM