Zilianza kusambaa picha mbalimbali zikimuonyesha msanii wa muziki wa Kenya, Akothee akiwa ndani ya shela la ndoa, sasa mambo ndo haya hapa katika video yake iliyoongozwa na director Godfadher kutoka Afrika Kusini. Maana yake ni kwamba msanii huyo wa kike kutoka Kenya, Akothee ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Yuko Moyoni’.

Ishuhudie hapa

Video: Wanasoka na mbwembwe za kupotezea muda uwanjani
Video: Taarifa ya mfumuko wa bei wa Taifa 2016