Jeshi la polisi Mkoani Kagera linamsaka mtu mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa aliyetoka gerezani kwa msamaha kwa tuhuma za kuanzisha kikundi cha uhalifu kinachojihusisha na uporaji wa pikipiki kwa kuwavamia madereva bodaboda na kuwacharanga mapanga huku wengine wakitiwa mbaloni wakihusishwa na wizi wa pikipiki pamoja na mifugo…, Bofya hapa kutazama.

Watendaji mamlaka za maji watakiwa kutofanya kazi kwa mazoea
Vikwazo vyaibuka mpango wa nyuklia Rwanda