Askofu Kakobe ajibu mapigo TRA, ashangazwa barua yake na JPM kuwekwa hadharani, asema walichofanya ni sawa ma ‘ushilawadu’, Muhongo ajikita kivingine, Mbowe kuongoza mazishi ya diwani, Hatima ya Sugu leo…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Februari 26, 2018.

Askari watumia risasi za moto kwa waandamanaji, waua
Ruto asema deni halizuii uchumi kukua