Ambwene Yessaya maarufu kama AY, dakika chache zilizopita ameachia ngoma yake mpya mara baada ya kimya kirefu akiwa amemshirikisha msanii wa Hip Pop toka Mwanza, Fareed Kubanda maarufu kama Fid Q.

Wimbo huo unaenda kwa jina la Microphone.

Kuwa wa kwanza kuutazama wimbo huo kwa kubonyeza kitufe kilichopo hapa chini.

Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Julai 10, 2018
Video: Sheria 6 zitakazokufanya ushindwe kuishi Korea Kaskazini

Comments

comments