Bajeti ya upinzani kaa la moto, Mradi mpya wa maji wasomba vigogo Dawasa, Wapinzani waumbuka Bungeni, vituko walivyofanya ni aibu tupu, wabunge wapongeza bajeti ya Serikali, Dude tril. 1.5 jipya laibuliwa, Askofu mbaroni mamilioni yakitajwa, Mwanamke ajifungua trafiki wakizuia basi, Mwelekeo kiuchumi waing’arisha Tanzania, Mbowe aanguka ghafla alazwa Muhimbili, Bajeti ya kurasa 521 ya upinzani yaota mbawa, Mradi mpya wa maji Dar wasomba vigogo Dawasa…,Bofya hapa kutazama video ya habari kubwa zilizopewa uzito katika magazeti ya leo Juni 19, 2018.

Vichanga Mapacha wafa kwa kuchomwa hospitalini
Serikali yapigilia msumari wa moto wanaokamatwa Serengeti