Balaa la Mvua, zaidi ya watu 10 waripotiwa kupoteza maisha hadi jana, Makonda atangaza shule Dar kufungwa kwa siku mbili, Ripoti ya CAG yavuruga Bunge, PAC na LAAC wadai mawaziri wanadhalilisha bunge, Dk. Tulia asema wanachofanya ni kutoa mawazo yao binafsi, Kafulila amshambulia Zitto…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Aprili 17, 2018.

Umoja wa Ulaya wagawanyika, wahofia maamuzi yatakayochukuliwa na Urusi
Wataalamu wa silaha za sumu wanyimwa kibali cha kuingia Douma

Comments

comments