Klabu ya Roma ya nchini Italy imeisambaratisha klabu ya Barcelona kwa kuifunga bao 3-0 na hivyo kutinga nusu fainali za mabingwa Ulaya kwa faida ya goli la ugenini.

Barcelona waliingia kwenye mchezo huo wakiwa na akiba ya magoli, ambapo kutokana na mechi ya kwanza waliyoipiga Roma bao 4-1, Roma ilikuwa inalazimika kuifunga Barcelona 3-0

Aidha, magoli ya Edin Dzeko dakika za awali za mchezo (6′), na Penati ya Daniele de Rossi katika kipindi cha pili dakika ya 58 yamekamilishwa na Goli la Mlinzi Kostas Manolas alilofunga zikiwa zimesalia dakika nane tu mechi kufikia mwisho zimewafanya Barcelona

 

 

Wanasiasa, viongozi wa dini watajwa kwa Makonda kutelekeza watoto
Jurgen Klopp afunguka alivyoziota Barcelona, Man City