Video: BAWATA Wamekuja na Haya Tena Kuhusu Matatibu Waliofutiwa Usajili
6 years ago
Baraza la Waganga wa tiba asili Tanzania (BAWATA) limejitokeza na kuzungunzia suala la Waganga waliofutiwa usajili. Hii ni baada ya Mwenyekiti wa Baraza hilo kutangaza kuwafutia usajili Waganga 3 ambao ni Tabibu Mwaka, Mandai na Fadhil huku wengine wakipewa adhabu. Tazama hapa
Warning: Invalid argument supplied for foreach() in /srv/users/serverpilot/apps/dar24/public/wp-content/plugins/social-networks-auto-poster-facebook-twitter-g/inc/nxs_functions_wp.php on line 166