Msanii wa muziki wa Bongo Fleva miondoko ya R&B, Bernard Paul maarufu kama ‘Ben Pol’, ameachia ngoma yake mpya inayoenda kwa jina la ”Ntala Nawe” huku msanii wa maigizo ya filamu nchini aliyewahi kuchukua tuzo ya msanii bora wa kike katika tuzo za African Prestigious Awards (APA), Yvonne Cherry, ‘Monalisa’, akiipendezesha video hiyo.

Tazama hapo chini.

Picha: Barabara ya juu itayozinduliwa kesho na Rais Magufuli
Paul Pogba apokwa unahodha Man Utd