Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Dunia hiishiwi vimbwanga, mwishoni mwa wiki hii dada mmoja huko nchini Ghana, amestaajabisha watu baada ya kuamua kuingia ukumbini kwenye sherehe ya Harusi yake akiwa ndani ya jeneza.

Mamia ya watu waliokuwa ukumbini wakisubiri aingie walistaajabu baada ya kuona jeneza jeupe linaingizwa ambalo lilikuwa limezibwa na kitambaa cheusi.

Baada ya kuingia lilifunuliwa kwa bwebwe na mdada huyo aliinuka ndani ya jeneza huku akicheka kwa sauti kisha akanza kucheza muziki akiwa bado ndani ya jeneza na kushangiliwa na wageni waalikwa…, Bofya hapa kutazama.

Waziri Ummy kumfariji mtoto aliyepoteza familia yake
Video: Wapinzani waiweka Nchi njiapanda, Mwanafunzi yatima aliza mamia

Comments

comments