Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Cassim Mganga ni kati ya wasanii walioshiriki katika Tamasha la Filamu kwa nchi za Jahazi ZIFF(Zanzaibar International Film Festival) ambalo limefikia kileleni hivi karibuni visiwani Zanzibar.

ZIFF inatarajiwa kufanyika tena Julai 8 mpaka 16 mwaka 2017 ambapo litakuwa linatimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1997, moja ya mambo makubwa katika tamasha la ZIFF ni kuwakutanisha wadau mbalimbali wa masuala ya Filamu.

Itazame hapa show ya Cassim Mganga akitumbuiza katika tamasha la ZIFF Zanzibar.

Chid Benz afunguka kama amepewa shavu la kujiunga na WCB
Mpoto, washiriki 'Kili Challenge' wafika Kilele cha Mlima Kilimanjaro