CCM ‘wamshtaki’ Nape, CUF walia na jeshi la Polisi, ni kutokana na kuvamiwa na mazombi, Sirro anasa watu, Serikali yamfukuza bosi UN, aondolewa nchini ndani ya saa 24, adaiwa alikuwa na malengo tofauti, Aliyeua mwanaye kwa nyundo kupimwa akili…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 25, 2017.

Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania. Bofya hapa kutazama

Tazama hapa yanayojili moja kwa moja kutoka Bungeni Dodoma leo Aprili 25, 2017

Prof. Muhongo atoa onyo TPDC, ataka wasiingilie helium
Polepole Ataka CCM Imuwajibishe Nape

Comments

comments