CCM yaingia hofu 2020, Polepole aonya makada wanaotaka kumpinga JPM, Vigogo watumbuliwa Wizara ya Elimu, Kampuni za madini zabanwa ubadhirifu, Wanaume hatarini kupata saratani ya matiti, Nyumba 800 zilizoathiriwa na baruti kufidiwa, Mgodi wa Acacia kuhakikiwa upya, Mpina awaweka kitanzini wakurugenzi Mtera…, Bofya hapa kutazama habari zilizopewa uzito kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo Oktoba 1, 2018.

Ndoa ya Lulu yaiva, avishwa pete
Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 1, 2018