Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo Septemba 30 kimetangaza kuahirisha mikutano ya hadhara na maandamano ya Ukuta kwa nchi nzima.
Akiongea na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema baada ya tathimini mambo kadhaa, Kamati kuu maalumu imeona kuna umuhimu wa kutokuendelea na maandamo na mikutano nchi nzima iliyokuwa imekusudiwa kufanyika nchi nzima ili kupisha mbinu zingine mbadala
October 1 ilitangazwa na Chadema kuwa ni siku mbadala ya Ukuta baada ya kuahirishwa September 01 2016. Bofya hapa kutazama video
Mbowe: Tunawaona Wanajeshi wakiandaliwa kufagia