Ungana na Dar24 Magazeti  kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo Novemba 28, 2016 ikiwa pamoja na Chadema yataja siri tano mafanikio ya Ukuta, Janja ya Maalim Seif hadharani, Kiama walioghushi vyeti chawadia, Mzee wa Upako: Nilipagawa #USIPITWE

Video: 'Lipumba ni msaliti' - Maalim Seif
Mpina: Wanaotubeza wamekosa hoja za msingi