Chadema yatoa tamko zito, waitaka jumuiya ya kimataifa kuinyima Tanzania misaada ya kiuchumi,  TRA yamkana Ngeleja Escrow, Watoto wanne wafariki joto wakicheza garini, CCM: Tunamsubiri Lowassa ulingoni uchaguzi 2020…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 18, 2017. Tazama video hapa

Trump aionya Venezuela, aitaka kutobadili Katiba ya nchi hiyo
Mdahalo wageuka kaa la moto kwa wagombea Kenya

Comments

comments