Mbunge wa Kigoma mjini na kiongozi wa chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amekitaka chama cha Mapinduzi (CCM) kumdhibiti mwanachama wao, Rais John Pombe Magufuli.

Zitto amesema hayo leo katika ofisi za Chama hicho zilizopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

“Chama cha Mapinduzi kimdhibiti Mwanachama wao [Rais Magufuli], kisipomdhibiti wataingiza nchi hii pabaya,” alisema  Zitto.

Kamera ya Dar24 ilikuwa mbele ya kiongozi huyo wa ACT-Wazalendo, muangalie hapa:

Watanzania wametakiwa kushiriki kupiga vita matukio ya mauaji
Video: 'Chama cha mapinduzi kimdhibiti mwnachama wao John Pombe Magufuli' - Mbunge Zitto Kabwe