Cheyo awararua Lowassa na Sumaye, asema wanatumia dini, katiba kuchonganisha, Manji aondolewa Muhimbili usiku apelekwa Keko, DCI awaanika vigogo wapya kwenda Keko, wapo wa makinikia, ulaji bandarini, dawa za kulevya…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 8, 2017. Tazama video hapa

 

Saida Karoli: Jina liliniletea dhihaka, dharau za wazi na kutukanwa
Idris Sultan apata shavu kushiriki filamu kali New York