Chris Brown na Wizkid wikendi hii waliwapa mashabiki wao wa Amsterdam kile walichokuwa wakikitegemea baada ya kuuimba wimbo wao ‘African Bad Girl’ jukwaani.

Wasanii hao ambao waliwahi kuuimba wimbo huo tangu mwaka jana, wameonesha nia ya kuupakua rasmi kuwalisha mashabiki wao.

Chris anaendelea na ziara yake aliyoibatiza jina la ‘One Hell of a Night Tour’ tour’, na Wizkid ndiye msanii pekee wa Afrika aliyejiunga na ziara hiyo nzito.

Manji aendelea kumwagiwa Sifa, Pongezi kuishika Yanga
Tiwa Savage: Nilivurugana na mume wangu siku ya harusi