Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maaalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa bado upelelezi unaendelea kuhusu kuvamiwa kwa Clouds Media Group na pindi upelelezi utakapokamilika hatua zinazotakiwa zitafuata.

Kamanda Sirro amesema kuwa mara baada ya upelelezi kukamilika ripoti zitapelekwa kwa wakili mkuu wa Serikali ambaye atatoa maamuzi kulingana na ripoti hizo, hivyo amewataka Clouds kutoa ushahidi wa kutosha ili kufanikisha upelelezi huo. Bofbya hapa kutazama

Video: Ukiwakamatisha 12 umetajirika, Makonda atema nyongo
Video: Serikali kuboresha huduma ya uzazi