Chama cha wafanyakazi wa sekta ya mawasiliano na uchukuzi Tanzania – COTWU (T) kimejitokeza na kuzungumzia hali ya chama hicho ambapo kaimu Mwenyekiti wa chama hicho, Idrisa Washington amesema kuwa mara baada ya kuwasimamisha viongozi kutokana na matumizi mabaya ya madaraka na ubadhilifu wa mali hali sasa iko shwali ndani ya chama hicho.

Pia Chama hicho kimempongeza Rais Magufuli kwa hatua alizofikia hadi sasa

Video: Yametajwa Majina Ambayo siyo sahihi kuyatumia kwa watu wenye Ualbino
Mohammed Kiganja: Mamluki Marufuku Umitashumta