Baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza kurejea kwenye chama chake, kumeibuka taarifa kutoka kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho kupinga kurejea kwake, wananchi wa CUF mkoa wa Dar es salaam wanapanga kufanya maandamano kesho kumuunga mkono Profesa Lipumba.

“Tupo tayari kwagharama yoyote ile hata kama maisha yetu yatagharimika lakini yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama hiki Taifa….kwani tumechoka kuburuzwa tumechoka kuonewa na wanaaojiita watawala CUF Zanzibar” – Umoja wa Wananchi CUD DSM

Kozi Ya Ukocha Yasogezwa Mbele Kupisha Mwezi Mtukufu
Neymar da Silva Santos Júnior Akubali Yaishe