Dangote aivuruga Serikali, Nyumba 500 zabomolewa kimakosa Dar es salaam na Mbowe ngoma nzito ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 2, 2016, Ungana na Dar24 Magazeti  kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Video: Eric Omondi alivyoifanya 'Kuliko Jana' ya Sauti Sol
Chadema: Tunakuja na staili mpya kumkabili Magufuli