Dangote aja kushitaki kwa Rais Magufuli, Ukawa CCM kutikisa majukwaa kwa siku 30 na Magufuli awaonya wanaomchafua JK ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 5, 2016, Ungana na Dar24 Magazeti  kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Diamond awataka mashabiki kumpa mtoto wake jina
Mtoto darasa la tano ajitia kitanzi bafuni.