Dangote awaibua wasomi kwa JPM, Lowassa kung’oa mawaziri, Miili kwenye viroba yamuibua Mwigulu… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 13, 2016, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE