Mkuu wa wilaya ya kinondoni, Ally Happi amezindua mfumo wa wataalamu wa kufundisha ujasiliamali kwa vijana na akina mama ambao wanajishughulisha na kazi mbalimbali ili waweze kuwa wabunifu zaidi katika biashara zao na kuondokana na umasikini.

Hapi amesema ili kupunguza na kutatua tatizo la ajira na kuwafanya vijana wengi kutokutegemea ajira rasmi ni lazima kupanua wigo wa fursa kwa vijana kuingia kwenye sekta isiyo rasmi kwani ndiyo ambayo inaliingizia Taifa kipato kikubwa zaidi. Bofya hapa kutazama video

Video: Waziri Makamba atoa onyo kwa wanaotupa hovyo taka ngumu
Picha 23: Majaliwa azindua mpango mkakati, mradi wa maboresho ya Mahakama Tanzania