Mkuu wa wilaya ya kigamboni, Hashim Mgandilwa amesema amejipanga kukabiliana na changamoto zinazo ikabili wilaya yake mpya kwa kuweka mipango na mikakati ya kuijenga kigamboni.

Mgandilwa amesema hayo wakati akizungumza na dar24.com ofisini kwake ambapo ameeleza kuimarisha hali ya usalama Wilayani humo ikiwa ni pamoja na kujenga vituo vya Polisi maeneo hatarishi ili kukomesha ujambazi na biashara haramu. Bofya hapa kutazama video

Ziara ya Lowassa Kagera yazua gumzo, afikisha kilio chake kwa Mkuu wa Mkoa
Taasisi ya Hifadhi ya Bahari na Maeneo Tengefu yapewa siku 10 kulipa deni la sh. mil.100