Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema amefungua kongamano la vijana wa Afrika Mashariki la kujadili malengo ya ‘Millennium Challenge’ waliyojiwekea.

Akifungua kongamano hilo Septemba, Mjema amewataka vijana kujidhatiti katika malengo yao ya maisha, kuelewa, kuzingatia na kujua nini wanachokihitaji. Bofya hapa kutazama video

Kilimanjaro Queens Yaendelea Kupongezwa
Taraka ya muigizaji Brad Pitt na Angelina Jolie ni gumzo.