Diamond ameachia video ya wimbo wake mpya aliofanya na P Square. Wimbo huo umeandaliwa na Laizer wa WCB Records na kuwekwa kwenye video kali iliyoongozwa na Godfather wa Afrika Kusini.

Katika video hii, Diamond amewaweka pamoja mapacha hao ambao kwa kipindi cha hivi karibuni wamekuwa hawapiki chungu kimoja. Huu ni mradi mwingine mkubwa wa Diamond utakaompandisha hatua nyingine kubwa.

Magufuli autumbua mtandao wa rushwa za uteuzi
Video: Katibu Mkuu Tiba Asili Tanzania Apinga Dkt. Mwaka na Wengine Kufutiwa Usajili