Wasanii wote kutoka kundi la Wasafi, Diamond Platnumz, Rayvanny, Harmonize, Mbosso, Lavalava, Queen Darleen, Rich Mavoko wameachia video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la ‘Zilipendwa’.

Itazame hapa

Uchambuzi: ‘Seduce Me’ ya Ali Kiba ni ‘Hai au Hoi’?
Hata mimi siwatambui akina Seif- Ndugai