Huu utakuwa ni wimbo wake wa nne kuuachia kutoka kwenye albam yake inayoitwa”Grateful’ itakayoingia sokoni Juni 23 mwaka huu.
Kama umefuatilia  nyimbo kadhaa alizokwishaachia Dj khaled kwenye hii albam utakubaliana na mimi kwamba huu pia ni wimbo mkali sana ukiachana na Shining, I’m the one na To the max aliyo mshirikisha Drake.
Unaweza kutazama video ya wimbo huo wa”Wild thoughts” hapa chini

Comments

comments