Dkt. Bashiru: Serikali ya 2010 ilikosa uhalali kisiasa, aeleza nyimbo za ‘mbele kwa mbele’, kofia na fulana zinavyoponza wananchi, Watoto 61 wapotea ndani ya siku 90, Matukio 10 ya kitapeli yaliyotikisa Dar, Mbunge Musukuma aburuzwa kortini, Wenye VVU wagoma kufuata ARVs, Adakwa kwa madai ya rushwa ya ngono, Wanafunzi 6,433 kurudia mtihani darasa la saba…,Bofya hapa kutazama habari zilizopewa uzito katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Oktoba 5, 2018.

Wananchi watakiwa kutokaa kimya
Live: Hali ya ukusanyaji mapato kwenye Halmashauri nchini

Comments

comments