Daktari Bingwa wa Magonjwa  ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Alex Masao amesema kuwa magonjwa ya kifua yapo ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza.

Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na Dar24 Media, ambapo amesema kuwa magonjwa hayo ya kifua kama Pumu yapo ya kuambukizwa na mengine ya kuzaliwa nayo.

Aidha, Dkt. Masao ameyataja magonjwa ya kifua ambayo ni ya kuambukiza kwa njia hewa kuwa ni Kifua Kikuu na Nimonia.

Ndege ya kivita ya Urusi yaanguka Syria
Video: Serikali yakubali hoja ya Mkapa, Mbunge Chadema asema hakuna kama Rais Magufuli

Comments

comments