Dkt. Slaa ajitosa sakata la Sh1.5 trilioni, asema kutoonekana kwa fedha hizo ni matokeo ya kanuni na mfumo uliopo katika bunge unaoruhusu wabunge kupitisha bajeti hewa, Askari Polisi atekwa na wasiojulikana, apigwa na kutupwa mbaroni, vigogo wanne watiwa mbaroni, Ng’ombe vibudu wakamatwa jijini Dar es salaam, Mtu na mpenziwe wang’atwa na Fisi kichakani…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 14, 2018.

Video: Kauli ya JPM ni hatari sana- ACT Wazalendo
Ngorongoro Heroes yajichimbia kaburi

Comments

comments