Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi ambaye huwa anarudia nyimbo za wananii mbali mbali kwa kuimba ‘style’ na maneno yake mwenyewe pamoja na video kwa mtindo wa peke yake, ameifanya hii ‘Kuliko Jana’ ya Sauti Sol. Wimbo huo wa Sauti Sol umerudiwa na wasanii mbali mbali lakini pia Eric Omondi akaamua kuufanya kihivi… Tazama hapa