Unaambiwa huyu ndiye mnyama pekee duniani mwenye uwezo wa kufanya mapenzi mara 26 kwa siku ambayo ni sawa na mtu kukimbia umbali wa kilomita 360 kwa siku.

Lakini pia mnyama huyu hawezi kulala usingizi mnono bila kushiriki tendo hilo angalau mara 60 au zaidi. Kumfahamu mnyama huyu tazama video hapa chini, na hii ni zaidi inayokujuza mambo mbalimbali ambayo yanavunja rekodi hapa duniani, tembelea chaneli yetu ya You Tube Dar24Media kutazama Episode zilizokupita.

Hoja ya Zitto baada ya Rais Magufuli kupokea gawio la serikali
Rais Magufuli amteua Mkapa kumuwakilisha Msumbiji