Nyoka ni viumbe hatari zaidi duniani kutokana na sumu yao kali yenye uwezo wa kumuua binadamu ndani ya dakika chache.

‘Black Mamba’ ni moja ya nyoka hatari sana katika dunia. Nyoka hawa hupatikana katika sehemu za Mashariki na Kusini mwa Afrika.

Nyoka huyu anaweza kuishi katika aina mbalimbali za mazingira, katika maeneo ya misitu na maeneo ya miamba.

Makazi yoyote ambayo hutoa joto na unyevunyevu ni sehemu nzuri ya kuishi Black Mamba kutokana na uharibifu wa mazingira na kuongezeka kwa kilimo, makutano kati ya Black Mamba na binadamu yameongezeka zaidi.

Fahamu hapa mbali na Black Mamba aina nyingine ya Nyoka wenye sumu kali zaidi.

Ndalichako ataja idadi sahihi ya viboko kwa wanafunzi, aonya atakayekiuka
Dully Sykes alivyomuacha Master Jay hoi Studio kwa mbwembwe #TBT

Comments

comments