Kutokana na utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha St. Lawrence juu ya watu wanotumia mkono wa kushoto umeweza kugundua mambo mbalimbali ambayo yameonesha upekee wa watu hawa.

Na hii ni orodha ya watu maarufu duniani wanaotumia mkono wa kushoto ambapo moja ya sifa kubwa walionayo watu hawa ni kwamba asilimia kubwa ya watu hawa wana uwezo mkubwa wa kufikiri na kufanya mambo yenye mafanikio.

Lakini pia utafiti wa Chuo cha St.Lawrence umebainisha kuwa watu wanaotumia mkono wa kushoto wanaongoza kwa kutumia kilevi kulinganisha na watu wanaotumia mkono wa kulia.

  1. Barack Obama – Rais wa zamani wa Marekani
  2. Bill Gates – Tajiri mkubwa duniani
  3. Uhuru Kenyatta – Rais wa Kenya
  4. Prince William – Mwanamfalme mjukuu wa Malkia Elizabeth
  5. Benjamini Netanyahu – Waziri mkuu wa Israel
  6. Justin Beiber – Msanii wa muziki Marekani
  7. Oprah Winfrey – Mtayarishaji wa vipindi vikubwa Marekani
  8. Angelina Jolie – Mucheazaji wa filamu
  9. Lionell Messi – Mcheza mpira maarufu
  10. Eminem – Mfalme wa Hip Pop Marekani.

Tazama video hapa chini kufahamu tabia za watu wanaotumia mkono wa kushoto kulingana na utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha St.Lawrence.

Zamaradi aguswa gharama matibabu ya Ruge, ahamasisha michango
Mwanjelwa ang'aka, 'Nataka uache kiburi'

Comments

comments