Familia ya Wema, Diamond wapiga kambi Polisi Dar, wahaha kujua hatima ya watoto wao na madawa ya kulevya, Nape amvaa Makonda kuhusu dawa za kulevya, Lipumba: Ukawa ilitaka kuizika CUF, avunja ukimya dhidi ya Lowassa… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 6, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Nape amvaa Makonda kuhusu madawa ya kulevya kwa wasanii
Cameroon yatwaa ubingwa wa Afrika 2017