Hatimaye siku imewadia na yaliyosubiliwa yameshapita huku Mashabiki wa Yanga SC wakitamani ingekuwa ndoto yaani siku haijafika lakini kwa upande wa TP Mazembe wakishangilia matokeo ya siku yenyewe.

Yanga imeshindwa kufurukuta baada ya dakika ya 72 na dakika zake 35 ilipopatikana Faulu na dakika ya 74:16 TP Mazembe wakaitumia nafasi hiyo kujipatia ushindi uluoambaa ambaa hadi kipyenga cha mwisho.

Lesotho Kurejesha Viongozi wa Upinzani Nchini
Video: Waziri Mkuu Majaliwa akizunguza baada ya kumaliza kikao cha SADC Botswana