Ni katika maonyesho ya Bodi ya Wakandarasi Tanzania inayofanyika Diamond Jubilee ambapo Afisa Masoko wa M-Lipa Bi. Bwigane Mulinda amewataka Watanzania kutumia mfumo wa kisasa unaomwezesha mtumiaji kukwepa foleni katika malipo mbali mbali kwanjia ya simu.

Tazama Video Hapa Chini Kujua Mengi Kutoka M-Lipa

Video: Zitto Kabwe Ameyaongea haya Kwa Wizara ya Elimu Kuhusu Elimu ya Tanzania
Adalipa yawafikia wanafunzi vyuoni.