DJ Jors Bless wa 100.5 Times Fm ameendelea kuachia mix za video za muziki alizozipa jina la ‘Purple Mix’.

Hivi karibuni, Jors ameandaa ‘Purple Mix Vol. 5’ iliyobeba nyimbo kali za Hip Hop na RnB ambazo zitakukumbusha miaka fulani wakati muziki unaitwa ‘muziki’.

Dj Jors Bless Purple mix 5 from Dj Jors Bless on Vimeo.

 

Rais Dkt. Magufuli achangia milioni kumi na tano Ujenzi wa Zahanati
Fid Q aeleza ‘bifu’ yake na Joh Makini ilivyopikwa, alivyompa mchongo wa Coke Studio