Msanii wa Filamu nchini, Salim Ahmed maarufu kwa jina la Gabo Zigamba amezindua filamu yake fupi ya Kisogo leo Juni 14, 2017 jijini Dar es Salaam.

 

Katika uzinduzi, Gabo amesema Kisogo ni filamu mpya na yenye ubora wa kipekee itakayopendwa na kila mtu kwani inatoa elimu kubwa sana katika jamii na ni ya muda mfupi, itakayo mgusa kila mmoja.

Mayanga atangaza kikosi kipya cha Taifa Stars kuelekea Cosafa
Wanafunzi shule za msingi wagoma, wafunga barabara ya jiji

Comments

comments