Giza nene, wanafunzi 33 wa darasa la saba, walimu wawili na dereva wafariki katika ajali mbaya Karatu, mwanafunzi aliyenusurika asimulia chanzo cha ajali, Kutoonekana kwa Kinana kwaibua mjadala Bungeni, Vyeti feki ni vita, Kikwete alianza kuwaondoa kistaarabu, majina mengine kuanikwa wiki hii, majeshi kaa la moto, Tucta wataka walioghushi walipwe mafao…,  hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 7, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania. Bofya hapa kutazama

Wadau wa madini watakiwa kujikita katika uzalishaji
Magazeti ya Tanzania leo Mei 7, 2017