Gwajima, Manji wakesha na Polisi Dar, Askofu Gwajima amtaja Kikwete, Tamko la viongozi wa dini, Makonda aongezewe ulinzi, vita ni kubwa, wafichua siri ombi la ulinzi, wamuunga mkono… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 10, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Chris Kika kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Zitto Kabwe akesha bungeni, akihofia kukamatwa na polisi
Cheick Tiote Atimkia China