Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imesema inaendelea kumtafuta Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kwa ajili ya kumhoji.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema jeshi hilo bado linaendelea kumtafuta sana popote alipo.

Wananchi watinga Mahakamani Kudai ‘Bunge Live’
COCA COLA WAAHIDI KUENDELEA KUSAIDIA MASHINDANO YA UMISSETA NCHINI